Mwanamke aliye katika eda kutumia wanja kwa lengo la matibabu

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke aliye katika eda kutumia wanja wa antimoni (الإثمد) ikiwa ni kwa lengo la matibabu?

Jibu: Hapana. Matibabu hayakukomeka kwenye antimoni peke yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 11/05/2023