Swali: Vipi kumpa zakaah mwanafunzi?
Jibu: Akiwa ni fakiri. Ni mamoja ni mwanafunzi au sio mwanafunzi. Akiwa ni mwanafunzi na ni masikini basi ndiye mwenye haki zaidi ya kupewa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22973/حكم-اعطاء-الزكاة-لطالب-العلم
- Imechapishwa: 23/09/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)