Swali: Je, inahesabika ni katika elimu yenye manufaa kwa ambaye anasikiliza mihadhara, kongamano au khutbah katika kanda?

Jibu: Ndio, ni katika elimu yenye manufaa. Muhimu mzungumzaji awe ni mstahiki na ni katika wanazuoni.

Swali: Akiwa ni katika wanafunzi?

Jibu: Akiwa ni katika wanazuoni ambao yanachukuliwa na kuaminiwa maneno yao ili asije kusema juu ya Allaah pasi na elimu. Awe ni katika wanazuoni wanaojulikana na wanaotambulika.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22971/هل-يعتبر-استماع-الاشرطة-من-العلم
  • Imechapishwa: 23/09/2023