Mwanafunzi anasoma vitabu vya falsafa ili ajadiliane na makafiri

Swali: Kuna mwanafunzi anasoma vitabu vya falsafa ili aweze kujadiliana na makafiri na kuwaraddi. Ni ipi hukumu ya kitendo chake hichi?

Jibu: Kitendo hichi ni kosa. Asome Qur-aan, Sunnah na maneno ya wanachuoni. Ni kwa nini anasoma vitabu vya wanafalsafa? Hili ni kosa bila ya shaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015