Swali: Mume wangu swalah nyingi za mkusanyiko zinampita msikitini. Nimemnasihi sana ila haitikii. Nifanye nini?
Jibu: Endelea kumnasihi. Huenda Allaah akamuongoza. Isitoshe, watake msaada watu ambao wanaweza kumuathiri miongoni mwa jamaa zake, ndugu zake na jirani zake wamnasihi. Huenda Allaah akamuongoza. Usimuache na ukakata tamaa. Usikate tamaa juu ya kuongoka kwake au ukaacha kumnasihi. Mwanamke huyo yuko na ujira na yuko juu ya kheri. Huku ni kuamrisha mema na kukataza maovu na ni kumtoa mume wake katika maangamivu haya. Aendelee nae huenda Allaah akamuongoza. Watake msaada watakaokusaidia miongoni mwa jamaa zake au marafiki zake ili wamnasihi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–1428-03-04.mp3
- Imechapishwa: 22/09/2020
Swali: Mume wangu swalah nyingi za mkusanyiko zinampita msikitini. Nimemnasihi sana ila haitikii. Nifanye nini?
Jibu: Endelea kumnasihi. Huenda Allaah akamuongoza. Isitoshe, watake msaada watu ambao wanaweza kumuathiri miongoni mwa jamaa zake, ndugu zake na jirani zake wamnasihi. Huenda Allaah akamuongoza. Usimuache na ukakata tamaa. Usikate tamaa juu ya kuongoka kwake au ukaacha kumnasihi. Mwanamke huyo yuko na ujira na yuko juu ya kheri. Huku ni kuamrisha mema na kukataza maovu na ni kumtoa mume wake katika maangamivu haya. Aendelee nae huenda Allaah akamuongoza. Watake msaada watakaokusaidia miongoni mwa jamaa zake au marafiki zake ili wamnasihi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–1428-03-04.mp3
Imechapishwa: 22/09/2020
https://firqatunnajia.com/mume-wangu-haswali-mkusanyiko-msikitini-nifanye-nini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)