Swali: Je, ni sahihi swalah ya mwanamke pamoja na mumewe?
Jibu: Ndio. Hakuna neno kwa mume akamswalisha. Lakini mwanamke anatakiwa kusimama nyuma yake. Muda wa kuwa ni mke wake, basi hakuna neno.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin Humayd
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Ibn Humayd, uk. 129
- Imechapishwa: 21/05/2021
Swali: Je, ni sahihi swalah ya mwanamke pamoja na mumewe?
Jibu: Ndio. Hakuna neno kwa mume akamswalisha. Lakini mwanamke anatakiwa kusimama nyuma yake. Muda wa kuwa ni mke wake, basi hakuna neno.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin Humayd
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Ibn Humayd, uk. 129
Imechapishwa: 21/05/2021
https://firqatunnajia.com/mume-anamswalisha-mke/