Swali: Je, inajuzu kwa mume kumlazimisha mke wake kuvaa Hijaab?

Jibu: Ndio:

الرِّجَالُ قَوَّامُونَ عَلَى النِّسَاءِ

“Wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake.” (04:34)

Ni wajibu kwa mume kumlazimisha mke wake kuvaa Hijaab. Amlazimishe khaswa. Huku ni kuamrisha mema na kukataza maovu. Ni katika kumsimamia mwanamke. Hijaab ina sitara na usalama wa kutumbukia katika machafu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-7-20.mp3
  • Imechapishwa: 19/04/2015