Swali: Kuna mtu alitoka nyumbani kwake miaka kumi ya nyuma na hakurudia. Je, mke wake anaachika kwa jambo hilo?
Jibu: Hili lirejeshwe kwa Qaadhiy. Haya ni katika maswali ya mahakamani. Msikie Qaadhiy anasemaje.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
- Imechapishwa: 01/06/2023