Muhammad bin Ibraahiym kwamba si lazima kumkumbusha mfungaji anayekula kwa kusahau

Si lazima kumkumbusha mfungaji, kwa sababu hajafanya dhambi. Ni mwenye kupewa udhuru. Wanazuoni wametofautiana juu ya maoni mawili ambapo haya niliyosema ndio bora zaidi. Wale ambao wamesema kuwa ni wajibu kumkumbusha ni lazima kwao kuleta dalili.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (04/193)
  • Imechapishwa: 14/03/2024