Muda ambao mgonjwa anatakiwa kusimama na kuswali

Swali: Ni lazima kwa  mwenye kuswali kwenye kiti kusimama wakati wa Takbiyrat-ul-Ihraam kisha baadae akae?

Jibu: Hapana. Ikiwa anaweza kusimama basi ni lazima asimame kwa kiasi cha kusoma al-Faatihah. Kisha baadaye akae. Ni nguzo kusimama kwa kiasi cha kusoma Suurah al-Faatihah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
  • Imechapishwa: 23/07/2017