Swali: Ni lazima kwa mwenye kuswali kwenye kiti kusimama wakati wa Takbiyrat-ul-Ihraam kisha baadae akae?
Jibu: Hapana. Ikiwa anaweza kusimama basi ni lazima asimame kwa kiasi cha kusoma al-Faatihah. Kisha baadaye akae. Ni nguzo kusimama kwa kiasi cha kusoma Suurah al-Faatihah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
- Imechapishwa: 23/07/2017
Swali: Ni lazima kwa mwenye kuswali kwenye kiti kusimama wakati wa Takbiyrat-ul-Ihraam kisha baadae akae?
Jibu: Hapana. Ikiwa anaweza kusimama basi ni lazima asimame kwa kiasi cha kusoma al-Faatihah. Kisha baadaye akae. Ni nguzo kusimama kwa kiasi cha kusoma Suurah al-Faatihah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
Imechapishwa: 23/07/2017
https://firqatunnajia.com/muda-ambao-mgonjwa-anatakiwa-kusimama-na-kuswali/