Muadhini anakimu swalah kwa kuketi chini

Swali: Muadhini anakimu swalah ilihali ameketi chini ambapo waswaliji wakamkaripia. Je, dalili inawasapoti?

Jibu: Sunnah ni kusimama. Bilaal alikuwa akikimu ilihali amesimama.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23717/حكم-اقامة-الموذن-الصلاة-جالسا
  • Imechapishwa: 08/04/2024