Haifai kwa mtazamo wa wanazuoni wote

Swali: Je, inafaa kwa maamuma kumtangulia imamu katika Takbiyrat-ul-Ihraam?

Jibu: Haijuzu kwa mujibu wa wanazuoni wote. Ni lazima ailete baada yake:

“Akileta Takbiyr nanyi leteni Takbiyr.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23715/حكم-استباق-الامام-بتكبيرة-الاحرام
  • Imechapishwa: 08/04/2024