Kuswali kwa mkusanyiko ni lazima na sio sharti

Swali: Je, mtu anaweza kusema kwamba ni sharti kuswali katika mkusanyiko?

Jibu: Hapana, sio sharti. Ni wajibu. Kuswali katika mkusanyiko ni wajibu. Kwa vovyote sio sharti.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23718/هل-الصلاة-في-جماعة-واجبة-ام-شرط
  • Imechapishwa: 08/04/2024