Swali: Je, bwana wetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ndio kiumbe cha kwanza cha Allaah au ni bwana wetu Aadam?
Jibu: Kiumbe cha kwanza katika watu ni Aadam (´alayhis-Swalaatu wa sallam) kwa maafikiano ya waislamu na udhahiri wa Qur-aan. Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni mwanaadamu kutokana na asli ya Aadam.
Kuhusiana na msemo wa baadhi ya wajinga ya kwamba Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ndio kiumbe cha kwanza, ameumbwa kutoka kwenye nuru ya Allaah au kutoka kwenye nuru ya ´Arshi, maneno yake ni batili kabisa yasiyokuwa na msingi wowote wa usahihi.
- Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/307)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Je, bwana wetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ndio kiumbe cha kwanza cha Allaah au ni bwana wetu Aadam?
Jibu: Kiumbe cha kwanza katika watu ni Aadam (´alayhis-Swalaatu wa sallam) kwa maafikiano ya waislamu na udhahiri wa Qur-aan. Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni mwanaadamu kutokana na asli ya Aadam.
Kuhusiana na msemo wa baadhi ya wajinga ya kwamba Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ndio kiumbe cha kwanza, ameumbwa kutoka kwenye nuru ya Allaah au kutoka kwenye nuru ya ´Arshi, maneno yake ni batili kabisa yasiyokuwa na msingi wowote wa usahihi.
Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/307)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/mtume-muhammad-ndio-kiumbe-cha-kwanza-kuumbwa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)