Swali: Maneno yake kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni baba wa waumini yana maana gani?
Jibu: Ndio.
Swali: Lakini Allaah amesema:
مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ
“Hakuwa Muhammad baba wa yeyote miongoni mwa wanaume wenu.”[1]
Jibu: Maana yake ni katika upande wa kukanusha ule mfumo wa kubeba watu kama watoto wa kutwa:
ادْعُوهُمْ لِآبَائِهِمْ هُوَ أَقْسَطُ عِندَ اللَّهِ
“Waiteni kwa baba zao.”[2]
Ndiyo maana katika baadhi ya visomo Aayah isemayo:
النَّبِيُّ أَوْلَى بِالْمُؤْمِنِينَ مِنْ أَنْفُسِهِمْ وَأَزْوَاجُهُ أُمَّهَاتُهُمْ
“Nabii ni aula zaidi kwa waumini kuliko nafsi zao. Wake zake ni mama zao.”[3]
Baadhi yao wamesoma namna hii:
وهو أبوهم من حيث التربية
”Naye ni baba yao kwa upande wa malezi.”
Kwa maana ya ubaba wa malezi na uongozi, si ubaba wa kutwa mtoto. Hivyo ubaba unaokanushwa ni ubaba wa kutwa. Ndiyo maana alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema kwa baadhi ya Maswahabah wake: “Ee mwanangu.”
[1] 33:40
[2] 33:05
[3] 33:06
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31500/هل-يصح-ان-يقال-النبي-عليه-الصلاة-والسلام-ابو-المومنين
- Imechapishwa: 29/10/2025
Swali: Maneno yake kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni baba wa waumini yana maana gani?
Jibu: Ndio.
Swali: Lakini Allaah amesema:
مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ
“Hakuwa Muhammad baba wa yeyote miongoni mwa wanaume wenu.”[1]
Jibu: Maana yake ni katika upande wa kukanusha ule mfumo wa kubeba watu kama watoto wa kutwa:
ادْعُوهُمْ لِآبَائِهِمْ هُوَ أَقْسَطُ عِندَ اللَّهِ
“Waiteni kwa baba zao.”[2]
Ndiyo maana katika baadhi ya visomo Aayah isemayo:
النَّبِيُّ أَوْلَى بِالْمُؤْمِنِينَ مِنْ أَنْفُسِهِمْ وَأَزْوَاجُهُ أُمَّهَاتُهُمْ
“Nabii ni aula zaidi kwa waumini kuliko nafsi zao. Wake zake ni mama zao.”[3]
Baadhi yao wamesoma namna hii:
وهو أبوهم من حيث التربية
”Naye ni baba yao kwa upande wa malezi.”
Kwa maana ya ubaba wa malezi na uongozi, si ubaba wa kutwa mtoto. Hivyo ubaba unaokanushwa ni ubaba wa kutwa. Ndiyo maana alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema kwa baadhi ya Maswahabah wake: “Ee mwanangu.”
[1] 33:40
[2] 33:05
[3] 33:06
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31500/هل-يصح-ان-يقال-النبي-عليه-الصلاة-والسلام-ابو-المومنين
Imechapishwa: 29/10/2025
https://firqatunnajia.com/mtume-baba-wa-waumini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket