Swali: Je, kumethibiti kitu kuhusu kuonekana kwa Allaah katika ndoto kwa namna ya kuhisi?

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimuona katika Hadiyth ya kuota. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimuona katika ndoto. Ibn Rajab (Rahimahu Allaah Ta´ala) ameandika kitabu kuhusu jambo hilo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31383/هل-راى-النبي-ربه-في-المنام
  • Imechapishwa: 23/10/2025