Swali: Baadhi ya watu ambao wamepewa mtihani kwa maasi na madhambi wakati wanapoambiwa “Mche Allaah!” anakujibu kwa kujadiliana na wewe kwa kusema “Huu ndio uwezo wangu na siwezi kuvumilia juu ya maasi haya”.
Jibu: Tunaomba kinga kwa Allaah. Hili ni baya zaidi kuliko maasi. Kusema “Siwezi” ni kubaya zaidi kuliko kufanya maasi. Anaweza kwa kuwa hakutenzwa nguvu kuyafanya. Anayafanya kwa kupenda kwake na kwa utashi wake. Haya ni madhehebu ya Jabriyyah. Tunamuomba Allaah afya
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-11-16.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)