Swali: Mtu ambaye amesoma elimu kupitia kwenye vitabu na kaseti inajuzu kwake kufanya Da´wah?

Jibu: Ametakasika Allaah. Huyu hajasoma. Mwenye kuchukua elimu kwa wasiokuwa wanachuoni hajasoma elimu.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/adaab-11-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 01/05/2015