Swali: Mtoto aliyefikisha miaka saba aamrishwe kutamka Shahaadah?
Jibu: Aamrishwe Swalah. Shahaadah ni katika maumbile yake. Atatamka Shahaadah pindi anaposwali. Ni kafiri ndiye anaamrishwa kutamka Shahaadah anapotaka kusilimu. Ama mtoto ana maumbile ya Kiislamu. Asli yake ni Muislamu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14340324.mp3
- Imechapishwa: 18/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket