Mtoto wa kiume anayetaka kwenda kuswali ijumaa aamrishwe kuoga?

Swali: Mtoto akienda kuswali ijumaa aamrishwe kuoga?

Jibu: Kuoga kunamuhusu ambaye kishabaleghe.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23798/هل-يومر-الصبي-بالغسل-اذا-ذهب-للجمعة
  • Imechapishwa: 02/05/2024