Mtoto wa kike jina la Iymaan, Bushraa na Aalaa´

Swali: Vipi kumwita mtoto wa kike jina la Iymaan, Bushraa na Aalaa´?

Jibu: Sijui kama kuna tatizo lolote kwa jina kama la Bushraa, Aalaa´ na Iymaan. Sijui kama kuna tatizo lolote.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23597/ما-حكم-اسماء-ايمان-وبشرى-والاء-للبنات
  • Imechapishwa: 23/02/2024