Damu inayotoka wiki moja kabla mimba kuporomoka

Swali: Damu ambayo inatangulia kutoka wiki moja kabla ya kuporomoka kwa mimba ina hukumu moja na damu ya uzazi?

Jibu: Hapana. Haina hukumu sawa na damu ya uzazi. Ni damu ya kawaida. Isipokuwa damu inayoambatana na machungu ya uzazi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23598/ما-حكم-الدم-الذي-يسبق-السقط-باسبوع
  • Imechapishwa: 23/02/2024