Kuswali kinyume na Qiblah ndani ya mji

Swali: Anayeswali ndani ya mji kinyume na Qiblah?

Jibu: Mwenye kusahau arudie swalah yake ndani ya mji. Ni mamoja amesahau au ni mjinga. Lakini kama yuko jangwani na akajitahidi na kupambana lakini akakosea, swalah yake ni sahihi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23599/حكم-من-صلى-الى-غير-القبلة-في-المدينة
  • Imechapishwa: 23/02/2024