Swali: Msichana wangu mdogo huuliza siku zote ni kwa nini hatumuoni Allaah duniani. Ni njia ipi bora ya kumjibu kwa kuzingatia ya kwamba bado ni mdogo?
Jibu: Mwambie ni kwa sababu hatuna uwezo wa kufanya hivo. Tunaweza kuchomeka. Viumbe hawawezi kumuona Allaah duniani. Ama kuhusu Aakhirah, Allaah Atawapa waumini nguvu na wataweza kumuona Allaah (´Azza wa Jall).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-09.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)