Swali: Ikiwa imamu alimchagua mbadala baada ya kuswali Rak´ah mbili, lakini mbadala huyo hakujua hukumu na akaanza upya?

Jibu: Haidhuru, swalah yake ni sahihi hata kama alianza upya. Hata hivyo Sunna ni kwamba mbadala aendelee kutoka pale alipofikia imamu wa awali, kama ilivyofanya ´Abdur-Rahmaan bin ´Awf.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24910/ما-الحكم-لو-اعاد-المستخلف-الصلاة-من-اولها
  • Imechapishwa: 03/01/2025