Mtenda madhambi Allaah anamuitikia du´aa yake?

Swali: Hadiyth ya ´Aaishah:

“Ee Allaah! Naomba kinga dhidi ya mtihani wa Moto.”

Ni upi mtihani wa Moto? Baadhi ya washereheshaji wamesema kuwa mtihani wa Moto ni maswali ya walinzi. Hilo ni kutokana na maneno Yake (Ta´ala):

كُلَّمَا أُلْقِيَ فِيهَا فَوْجٌ سَأَلَهُمْ خَزَنَتُهَا أَلَمْ يَأْتِكُمْ نَذِيرٌ

“Kila wanapotupwa ndani yake kundi, basi walinzi wake watawauliza: “Je, hajakufikieni mwonyaji yeyote?” (67:08)

Jibu: Allaah ndiye mjuzi zaidi. Moto ni mtihani. Mtihani wa kitu ni pale kinamtesa na kumuadhibu:

ذُوقُوا فِتْنَتَكُمْ

”Onjeni adhabu yenu.” (51:14)

Bi maana adhabu yenu. Kunaweza kusemwa mtihani na kukakusudiwa adhabu. Mtihani wa Moto kukikusudiwa adhabu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23137/ما-معنى-حديث-اعوذ-بك-من-فتنة-النار
  • Imechapishwa: 11/11/2023