Msingi kunapokatazwa au kuamrishwa jambo

Swali: Ni vipi kutofautisha kati ya machukizo kwa njia ya mapendezo na machukizo kwa njia ya uharamu?

Jibu: Msingi katika makatazo ni uharamu. Huu ndio msingi. Isipokuwa yale yanayofahamishwa na dalili. Ni kana kwamba wamechukua jambo hilo katika njia ya adabu na du´aa na si katika mambo ya wajibu. Ni kana kwamba wamechukua hilo katika maana. Msingi katika maamrisho ni uwajibu. Msingi katika makatazo ni uharamu. Huu ndio msingi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23020/ما-الفرق-بين-كراهة-التنزيه-وكراهة-التحريم
  • Imechapishwa: 13/10/2023