Msimamo gani juu ya usengenyi unaotokea katika mikusanyiko ya watu

Swali: Ikiwa mtu amealikwa katika karamu ya ndoa na kukatokea usengenyi na asiweze kubadilisha kitu. Je, anapata dhambi kwa kuketi kwake au ni lazima atoke?

Jibu: Ima akemee au atoke.

Swali: Ikiwa amealikwa katika karamu ya harusi?

Jibu: Haijalishi kitu. Muhimu ni kwamba ameshafika na ameitikia mwaliko. Kula chakula sio jambo la lazima.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23202/حكم-من-دعي-الى-وليمة-وحصلت-غيبة
  • Imechapishwa: 25/11/2023