Kuandikiana wakati wa kukopeshana

Swali: Ni lazima kuandikiana mkopo?

Jibu: Allaah ameamrisha jambo hilo. Kumepokelewa katika Hadiyth yanayotilia nguvu jambo hilo. Inatakiwa kuandikiana wakati wa kukopeshana, kwa sababu kila mmoja anaweza kusahau.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23205/ما-حكم-كتابة-الدين
  • Imechapishwa: 25/11/2023