387 – Abu Hurayrah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
أقربُ ما يكون العبدُ مِن ربهِ عز وجل وهو ساجدٌ، فأكثِروا الدُّعاءَ
“Mja anakuwa karibu zaidi na Mola (´Azza wa Jall) wakati amesujudu. Hivyo basi, ombeni du´aa kwa wingi.”[1]
Ameipokea Muslim.
[1] Swahiyh.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/278)
- Imechapishwa: 25/11/2023
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
387 – Abu Hurayrah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
أقربُ ما يكون العبدُ مِن ربهِ عز وجل وهو ساجدٌ، فأكثِروا الدُّعاءَ
“Mja anakuwa karibu zaidi na Mola (´Azza wa Jall) wakati amesujudu. Hivyo basi, ombeni du´aa kwa wingi.”[1]
Ameipokea Muslim.
[1] Swahiyh.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/278)
Imechapishwa: 25/11/2023
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/05-hadiyth-mja-anakuwa-karibu-zaidi-na-mola-wakati/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)