Msichana kuuza vitu vyake pasina wazazi wake kujua

Swali: Dada huyu anauliza kama inajuzu kuuza kitu katika dhahabu anazomiliki bila ya wazazi wake kujua hilo kwa sababu nina haja kubwa na ninaona hayaa kuwaomba wao?

Jibu: Hii ni milki yako wewe. Inajuzu kutumia vitu vyako vile unavotaka pasina yeyote kukuingilia kati.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf-14-08-1433.mp3
  • Imechapishwa: 15/06/2015