Swali:Kuna mtu kasafiri katika mji kwa muda wa siku mbili. Je ale kwa muda wa siku mbili kama jinsi anavyofupisha swalah kwa kuwa ni msafiri, au kula inakuwa ni khaswa njiani tu?
Jibu: Ninavyoona ni kuwa anachukua ruhusa kama za msafiri. Msafiri akifika katika mji akakaa siku moja, mbili, tatu mpaka siku nne anachukua ruhusa za msafiri. Miongoni mwazo ni kula, na ikiwa atafunga kwa khiyari yake ni khayr kwake. Ama kujumuisha swalah asijumuishe hilo linakuwa wakati wa haja tu. Akihitajia atajumuisha la sivyo kila faradhi ataiswali kwa wakati wake. Kufupisha anaweza kufupisha isipokuwa tu akiswali nyuma ya imaam mkazi hapo ataswali swalah kikamilifu.
- Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali:Kuna mtu kasafiri katika mji kwa muda wa siku mbili. Je ale kwa muda wa siku mbili kama jinsi anavyofupisha swalah kwa kuwa ni msafiri, au kula inakuwa ni khaswa njiani tu?
Jibu: Ninavyoona ni kuwa anachukua ruhusa kama za msafiri. Msafiri akifika katika mji akakaa siku moja, mbili, tatu mpaka siku nne anachukua ruhusa za msafiri. Miongoni mwazo ni kula, na ikiwa atafunga kwa khiyari yake ni khayr kwake. Ama kujumuisha swalah asijumuishe hilo linakuwa wakati wa haja tu. Akihitajia atajumuisha la sivyo kila faradhi ataiswali kwa wakati wake. Kufupisha anaweza kufupisha isipokuwa tu akiswali nyuma ya imaam mkazi hapo ataswali swalah kikamilifu.
Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/msafiri-wa-siku-mbili-anatendea-ruhusa-za-usafiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)