Swali: Kuna mtu kanuwia safari asubuhi na akanuwia kula lakini hakusafiri. Atimize swawm yake au ale na alipe siku ile?
Jibu: Akiadhini muadhini adhaana ya pili naye bado yuko na nia hii ya safari na ya kula, kisha baada ya hapo hakusafiri atakata swawm yake na atalipa siku nyingine kwa kuwa nia yake imekatika. Au kwa kuwa alinuwia kula, atalipa siku nyingine. Na ikiwa alikula baada ya Fajr pia atakata swawm yake na kulipa siku nyingine. Na ikiwa hakula wala kunywa atakata swawm yake na kulipa siku nyingine. Na ikiwa aliwahi kuweka nia kabla ya adhaana ya Fajr ya kufunga, akafunga hana juu yake kitu.
- Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Kuna mtu kanuwia safari asubuhi na akanuwia kula lakini hakusafiri. Atimize swawm yake au ale na alipe siku ile?
Jibu: Akiadhini muadhini adhaana ya pili naye bado yuko na nia hii ya safari na ya kula, kisha baada ya hapo hakusafiri atakata swawm yake na atalipa siku nyingine kwa kuwa nia yake imekatika. Au kwa kuwa alinuwia kula, atalipa siku nyingine. Na ikiwa alikula baada ya Fajr pia atakata swawm yake na kulipa siku nyingine. Na ikiwa hakula wala kunywa atakata swawm yake na kulipa siku nyingine. Na ikiwa aliwahi kuweka nia kabla ya adhaana ya Fajr ya kufunga, akafunga hana juu yake kitu.
Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/amepanga-safari-lakini-akaahirisha/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)