Swali: Afanye nini ambaye anasafiri kwa kutembea kwa miguu na akataka kuswali swalah ya Witr ilihali anatembea?
Jibu: Asimame. Asimame na aswali. Tofauti na ambaye amepanda; aswali juu ya kipando chake ilihali amekaa chini. Kuhusu mtu huyu asimame na aswali na aketi chini. Aketi mahali kokote anapotaka kuswali.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23350/هل-يتوقف-المسافر-ماشيا-لاداء-صلاة-الوتر
- Imechapishwa: 30/12/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket