Swali: Kuna sampuli ngapi za wahy?

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hujiliwa na wahy kutoka mbinguni; mara hali ya kuzungumzishwa na Mola wake, kama ilivyokuja katika Hadiyth. Hakika Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alizungumzishwa na Allaah kama alivyozungumzishwa Muusa. Wakati mwingine anajiliwa na Jirbiyl. Wakati mwingine humsikia Malaika akimsemesha skioni mwake. Kuna aina tatu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23351/%D9%85%D8%A7-%D8%A7%D9%86%D9%88%D8%A7%D8%B9-%D8%A7%D9%84%D9%88%D8%AD%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D9%89-%D8%A7%D9%84%D9%86%D8%A8%D9%8A-%EF%B7%BA
  • Imechapishwa: 30/12/2023