Msafiri wa kutembea kwa miguu anayetaka kuswali Witr

Swali: Afanye nini ambaye anasafiri kwa kutembea kwa miguu na akataka kuswali swalah ya Witr ilihali anatembea?

Jibu: Asimame. Asimame na aswali. Tofauti na ambaye amepanda; aswali juu ya kipando chake ilihali amekaa chini. Kuhusu mtu huyu asimame na aswali na aketi chini.  Aketi mahali kokote anapotaka kuswali.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23350/هل-يتوقف-المسافر-ماشيا-لاداء-صلاة-الوتر
  • Imechapishwa: 30/12/2023