Swali: Njia za shirki ni mbaya zaidi kuliko madhambi makubwa?

Jibu: Ndio. Bid´ah na njia zinazopelekea katika shirki ni mbaya zaidi kuliko madhambi makubwa, kwa sababu zimezuliwa. Mpangilio ni kama ifuatavyo:

1 – Shirki kubwa.

2 – Shirki ndogo.

3 – Bid´ah.

4 – Madhambi makubwa.

5 – Madhambi madogo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24509/هل-وساىل-الشرك-اعظم-من-اكبر-الكباىر
  • Imechapishwa: 19/10/2024