Mkojo wa mnyama anayeliwa nyama yake

Swali: Je, mkojo wa mnyama ambaye nyama yake inaliwa ni msafi au ni najisi?

Jibu: Ni msafi. Kile kinacholiwa nyama yake mkojo wake pia ni msafi.

  • Mhusika: Imam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18249
  • Imechapishwa: 22/07/2020