Swali: Ni ipi hukmu ya kuchanua nywele kwa mtu ambaye anataka kuchinja?

Jibu: Hakuna neno juu ya hilo, lakini azichanue kwa utaratibu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 152