Swali: Je, mke wa babu ni Mahram wangu?
Jibu: Ndio. Mke wa babu ni mama wa mke. Miongoni mwa wanawake ambao Allaah ameharamisha kwa wanaume ni mama wa wake:
حُرِّمَتْ عَلَيْكُمْ
“Mmeharamishiwa [kuwaoa] mama zenu.” (04:23)
Kunaingia mama wa karibu na mama wa mbali, yaani babu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–09041434.mp3
- Imechapishwa: 24/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Baba wa mume ni Mahram kwa mama wa mke?
Swali: Mwanaume atapooa mwanamke baba wa mume ni Mahram kwa mama yake na mke? Jibu: Hapana. Baba wa mume sio Mahram kwa mama wa mke. Mke wa mtoto wake ndio atakuwa Mahram wake. “... [pia mmeharamishiwa] wake wa watoto wenu... “ (04:23) Ama mama yake [mke] yuko mbali na baba…
In "Mahramiyyah"
Mtu kumuoa mama wa mke wa baba
Swali: Je, mama wa mke wa baba yangu na dada zake ni Mahram wangu? Jibu: Hapana, sio Mahram zako. Mama wa mke wa baba yako ni Mahram kwa baba yako. Ama wewe huna mafungamano yoyote. Kadhalika hili ni kwa dada zake [wewe huna mafungamano yoyote nao]. Dada zake sio halali…
In "Mahramiyyah"
Mke kupeana mikono na washemeji na kukaa nao faragha
Swali: Inajuzu kwa mwanamke kupeana mikono na ndugu zake na mumewe na kupanda pamoja nao akiwa peke yake kwenye gari? Jibu: Haifai kwa mwanamke kupeana mikono na kaka, mjomba wala ami ya mumewe. Kwa sababu sio katika Mahram zake. Kwa hiyo haifai kwake akapeana nao mikono, kukaa nao faragha ndani ya gari wala…
In "Kupeana mikono kati ya jinsia mbili"