Usimweleze muhitaji ni nani aliyempa pesa

Swali: Baadhi ya watenda wema wananipa pesa niwagawie ndugu zangu. Je, ni wajibu kuwaeleza ya kwamba zimetoka kwa watenda wema au niwape bila ya kuhitaji kuwaambia kitu?

Jibu: Ikiwa ni wahitaji wape pesa hizo bila ya kuwaambia kitu aliyewapa. Wape, haijalishi kitu ikiwa zimetoka kwako au kwa mtu mwingine. Usiwaambie.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–09041434.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020