Swali: Je, mke wa babu ni Mahram wangu?

Jibu: Ndio. Mke wa babu ni mama wa mke. Miongoni mwa wanawake ambao Allaah ameharamisha kwa wanaume ni mama wa wake:

حُرِّمَتْ عَلَيْكُمْ

“Mmeharamishiwa [kuwaoa] mama zenu.” (04:23)

Kunaingia mama wa karibu na mama wa mbali, yaani babu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–09041434.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020