Swali: Mume wangu ana wake watatu lakini hata hivyo hafanyi uadilifu. Nifanye nini?
Jibu: Sijui anachokusudia kwa neno ´uadilifu`. Ikiwa makusudio ya uadilifu ni katika matumizi, mavazi, makazi [nyumba] na kugawiwa siku sawa, aombe haki yake. Ikiwa amefanya mapungufu katika moja ya mambo haya mane, aombe haki yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-21.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Mume wangu ana wake watatu lakini hata hivyo hafanyi uadilifu. Nifanye nini?
Jibu: Sijui anachokusudia kwa neno ´uadilifu`. Ikiwa makusudio ya uadilifu ni katika matumizi, mavazi, makazi [nyumba] na kugawiwa siku sawa, aombe haki yake. Ikiwa amefanya mapungufu katika moja ya mambo haya mane, aombe haki yake.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-21.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/mke-huomba-haki-yake-katika-mambo-haya/