Mke anawazawadia wenze wake nyusiku zake kisha baadaye anataka tena

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kuwazawadia nyusiku zake kwa wake wengine wa mume wake kwa kipindi cha muda maalum peke yake, kwa mfano muda ambao ni mgonjwa, baadaye akataka kugawanyiwa zamu tena?

Jibu: Inafaa kwake kufanya hivo. Ni haki yake kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (38)
  • Imechapishwa: 23/06/2023