Swali: Mwanaume anataka kumsusa mke wake kwa ajili ya kumtia adabu ambapo akaapa kuwa hatoingia nyumbani kwake kwa muda wa mwezi mmoja na kwamba kipindi hicho atakuwa kwa mke wake mwingine. Je, inafaa kufanya hivo?

Jibu: Hapana, haijuzu. Anatakiwa kutoa kafara ya kiapo chake na aingie ndani nyumba ya mke wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (38)
  • Imechapishwa: 23/06/2023