Swali: Ni vipi mke anaweza kutoa kafara ikiwa amekaribia kutumbukia kwenye zinaa? Anahisi ni mwenye deni, ametubu na anataka kuhifadhi heshima ya mume wake. Je, ni wajibu kwake kumweleza mume wake aloyafanya?
Jibu: Midhali hakutumbuki kwenye zinaa na amefanya michezo tu, atubu na kunyamazia kitendo chake. Amhimidi Allaah kwa kuwa ametubu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
- Imechapishwa: 16/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket