Mjomba ndiye kamuozesha

Swali: Wanandoa wafanye nini, ambao tayari wameruzukiwa watoto, ikiwa waliozeshwa na mjomba?

Jibu: Ndoa inatakiwa kufungwa upya na kurekebishwa. Hata hivyo watoto watamwandama baba yao kwa sababu jimaa ilikuwa ya utata.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
  • Imechapishwa: 20/07/2024