Swali: Je, inafaa kwa mwanamke aliye katika eda kutumia shampoo na sabuni yenye manukato?
Jibu: Vile vitu ambavyo harufu itabaki mwilini mwake, havijuzu. Ama vile vinavyosafisha na vinaondoka kwa maji, havina neno.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
- Imechapishwa: 05/05/2023