Mjane kutumia shampoo na sabuni ndani ya eda

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke aliye katika eda kutumia shampoo na sabuni yenye manukato?

Jibu: Vile vitu ambavyo harufu itabaki mwilini mwake, havijuzu. Ama vile vinavyosafisha na vinaondoka kwa maji, havina neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 05/05/2023